Huduma utakazo pata ni pamoja na:
- Kusajili akaunti yako ya Google
- Tutakusaidia kuchagua majina matatu ambapo moja wapo litatumika kama jina la blogu yako
- Tutakusaidia kutengeneza kichwa cha blog (title) ambayo itasaidia kulezea kuhusu blogu yako
- Kufunga template ya chaguo lako kutoka Blogger
- Kutekeleza mapendekezo yako katika mambo yafuatayo
Maoni - Nani anaweza kuacha maoni
Makala - Ni namna gani makala zako zitaoneka
- Muongozo wa namna ya kuandika makala yako ya kwanza, picha, video n.k.