Template ni kama nguo, kila nguo inamahali na
wakati wake, vile vile nguo hupitwa na wakati au kuchakaa. Kama nguo template
nazo zinahitaji kuendana na mahitaji ya blogu yako (mfano kama unablogu ya
mitindo, unahitaji template inayo kuwezesha kuonyesha mitindo mbali mbali kwa
urahisi).
Kwenye pakeji hii tutakufungia template iliyo
karabatiwa kukidhi mahitaji yako itakayo wezesha blogu yako kufanya kazi unavyo
taka na kuwana mvuto zaidi.
Huduma utakazopata ni pamoja na:
- Tutakusaidia kuchagua, kufunga na kukarabati template itakayo kidhi mahitaji yako.
- Tutakufungulia akaunti ya Flickr kwaajili ya kuhifadhi picha za template yako.
- Tutakupa mwongozo wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kuhifadhi picha za template yako.
- Tunaweza kukusaidia kuunganisha domain name kwenye blogu yako (Kwagharama ya ziada)