Tutaunganisha blogu yako na hadi mitandao
mitatu muhimu ya jamii (facebook,twitter, linkedin n.k) ambayo inatumiwa aina
ya watu unaotaka watembelee blogu yako. Tutatengeneza kurasa za mitandao yako
yote ya jamii na kukupa muongozo wa namna ya kuitumia kwa ufanisi zaidi.
Vile vile utapata vitu vyote husika kutoka
katika pakeji ya Basic na Custom. (Kama unachohitaji ni kuunganisha blogu yako
na mitandao ya jamii peke yake basi ingia hapa)
Huduma utakazopata ni pamoja na
- Usajili wa akaunti za hadi mitandao mitatu ya jamii pamoja na kutengeneza kurasa zake.
- Kuunganisha mitandao yako ya jamii na blogu yako.
- Kukupatia vifaa vitakavyokuwezesha kuendesha na kusimamia mitandao yako ya jamii kwa urahasi.