Tutarekebisha blogu yako kwa ajili ya search
engine 3 bora kwa idadi ya watumiaji (Google, Bing & Yahoo). Pia
tutaunganisha blogu yako na vyombo vitakavyo kuwezesha kufuatilia na kusimamia
utendaji wa blogu yako kwenye search engines.
Vile vile utapata kila kitu kinacho husika
kutoka katika pakeji za “Basic”, “Custom” na “Social Media”.
(Kama unataka tusimamie vyombo vya SEO yako basi ingia hapa)
(Kama unataka tusimamie vyombo vya SEO yako basi ingia hapa)
Huduma utakazozipata ni pamoja na :
Kurekebisha blogu yako kwa ajili ya SEO, na hii itahusisha pamoja na mambo mengine
- Tags [meta and description], images etc
- Link optimization [back links, no follow, do follow, no index etc]
Kuunganisha
blogu yako na webmaster tools pamoja na
- Kurekebisha blogu yako kutumia webmaster tools
- Kutuma ramani ya blogu yako kwenda kwenye search engines
- Mwongozo wa jinsi ya kutumia vipengele muhimu vya Webmaster Tools