Tutarekebisha blogu yako kwaajili ya search
engines 3 bora kwa idadi ya watumia (Google, Bing & Yahoo). Pia tutasimamia
webmaster tools zako, tutakupa ripoti itakayokupa picha ya blogu yako pamoja na
mapendekezo ya maboresho kila mwezi. Vile vile tutajadili ripoti hiyo na wewe
halafu tutatekeleza mapendekezo tutakayo afikiani kwenye mjadala wa ripoti.
Kwa maana nyingine ni kwamba sisi tutafanya
kazi zote za kuhakikisha blogu yako inafanya kazi vizuri na kukuacha wewe
uendeshe na kuendelea kuborosha blogu yako.
(Kama unachohitaji ni kufanyiwa SEO peke yake
basi ingia hapa)
Huduma utakazozipata ni pamoja na :
SEO optimization ya blogu yako yote nah ii itahusisha pamoja na mambo mengine
- Tags [meta and description], images etc
- Link optimization [back links, no follow, do follow, no index etc]
Kuunganisha
blogu yako na webmaster tools pamoja na
- Kurekebisha blogu yako kutumia webmaster tools
- Kutuma ramani ya blogu yako kwenda kwenye search engines
- Mwongozo wa jinsi ya kutumia vipengele muhimu vya Webmaster Tools
Kusimamia,
kutoa ripoti ya kila mwezi pamoja na kutekeleza mapendekezo yatokanayo na
mjadala wa ripotiya mwezi kati yako na sisi
Tutaunganisha blog yako
na Google Analytics & Webmaster Tools Bure.
Pakeji hii inaanzia
Kwa mwezi 1 TZS 2OO,OOO.oo
Mkataba wa miezi 3 TZS 185,OOO.oo kwa mwezi
Mkataba wa miezi 6 TZS 16O,OOO.oo kwa mwezi