Tutakaa na wewe kujua malengo yako halafu tutatumia
maelezo yako kuanda ripoti ya kila mwezi itakayokupa kwa undani picha kamili ya
blogu yako. Pia utapata mapendekezo ya nini cha kufanya kuboresha blogu yako
ili uweze kufikia malengo yako.
Sisi tutafanya kazi ya kusimamia, kutengeneza
ripoti na kutoa mapendekezo ya analytics
ya blogu yako na mitandao yako ya kijamii ili kukuacha wewe uendeshe na
kuboresha blogu yako.
(Kama unachohitaji ni kuunganishiwa blogu yako
na analytics basi ingia hapa)
Huduma utakazo pata ni pamoja na:
- Kuunganisha blogu yako pamoja na mitandao yako ya jamii na Google Analytics
- Kusimamia analytics kwa ajili ya blogu yako na mitandao yako ya kijamii
- Ripoti ya kila mwezi kuhusu blogu yako na mapendekezo ya maboresho ya kufanya.
Tutaunganisha Blogu
pamoja na mitandao yako ya kijamii na Google Analytics Bure.
Pakeji hizi zinaanzia
Mkataba wa mwezi 1 TZS 15O,OOO.oo
Mkataba wa miezi 3 TZS 14O,OOO.oo kwa mwezi
Mkataba wa miezi 6 TZS 12O,OOO.oo kwa mwezi