Utaweza kujua kuanzia wageni kwenye blogu yako
wanapotoka, kurasa wanazotembelea, muda wanaokaa kwenye blogu yako n.k. Tutakaa
na wewe kujua malengo yako halafu tutatumia maelezo hayo kuanda ripoti ya kila
mwezi itakayokupa kwa undani picha kamili ya blogu yako. Pia utapata
mapendekezo ya nini cha kufanya kuboresha blogu yako ili uweze kufikia malengo
yako.
Pakeji hii pia itawezesha search engines kuweza
kupitia makala zako na kuhifadhi maudhui yake kwa ajili ya watumiaji wake
(mfano mtu anapotafuta kitu kinachoshabihiana na maudhui ya makala zako, search
engine zitampa kurasa za blogu yako kwenye majibu yake).
Tutarekebisha blogu yako kwaajili ya search
engines 3 bora kwa idadi ya watumia (Google, Bing & Yahoo). Pia tutakupa
ripoti kila mwezi itakayokupa picha ya blogu yako pamoja na mapendekezo ya
maboresho kila mwezi. Vile vile tutajadili ripoti hiyo na wewe halafu
tutatekeleza mapendekezo tutakayo afikiani kwenye mjadala wa ripoti.
Huduma utakazo pata ni pamoja na:
- Kuunganisha blogu yako pamoja na mitandao yako ya jamii na Google Analytics
- Kusimamia analytics kwaajili ya site yako na mitandao yako ya kijamii
- Ripoti ya kila mwezi kuhusu site yako na mapendekezo ya maboresho ya kufanya.
SEO
optimization ya blogu yako yote nah ii itahusisha pamoja na mambo mengine
- Tags [meta and description], images etc
- Link optimization [back links, no follow, do follow, no index etc]
Kuunganisha
blogu yako na webmaster tools pamoja na
- Kurekebisha blogu yako kutumia webmaster tools
- Kutuma ramani ya blogu yako kwenda kwenye search engines
- Kukupa mwongozo wa jinsi ya kutumia vipengele muhimu vya Webmaster Tools
Kusimamia,
kutoa ripoti ya kila mwezi pamoja na kutekeleza mapendekezo yatokanayo na
mjadala wa ripotiya mwezi kati yako na sisi
Tutaunganisha blog yako na Google Analytics & Webmaster Tools Bure.
Pakeji hizi zinaanzia
Kwa mwezi 1 TZS 28O,OOO.oo
Kwa mkataba wa miezi 3 TZS 26O,OOO.oo kwa mwezi
Kwa mkataba wa miezi 6 TZS 23O,OOO.oo kwa mwezi