Japo mafanikio ya brand yanatokana ubora wa
kazi, huduma au bidhaa yako, branding inawesha watu kutambua blogu yako kutoka
kwenye utitiri wa blogu mtandaoni. Pakeji hii itawezesha blogu yako iweze
kutambulika kirahisi kwa kutumia rangi, nembo, slogan n.k. ambazo zitakuwa za
kipekee kwaajili ya blogu pamoja na mitandao yako ya kijamii.
Huduma utakazopata ni pamoja na:
- Branding ya blogu yako kwa kutumia rangi, picha, nembo za kipekee n.k.
- Branding ya mitandao yako ya kijamii ifanane na branding ya blogu yako
- Links na resources za kukusaidia kutekeleza mikakati yako ya kukuza brand yako.
Pakeji hii inaanzia TZS 25O,OOO.oo +
TZS 1OO,OOO.oo kwa kila mtandao wa jamii (Ingia HAPA kupata makisio ya gharama BURE)