• Start a Blog

    Start a Blog

    Whether it's a personal or business Blog, we can help you get started.

  • Blog Tweaks

    Blog Tweaks

    We help you make small changes to your Blog that make a big difference.

  • Blog Strategy

    Blog Strategy

    We will help you develop a strategy for your Blog's success.

  • Branding

    Branding

    Helping your Blog and Social Media platforms standout from the crowd.

  • Analytics

    Analytics

    Use your Blog visitors' interaction data to improve your Blog.

  • Management

    Management

    Let us manage your Analytics and Webmaster tools so you can focus on blogging.

Faida za kuwa na Blogu kwa watu binafsi


Blogu siyo kitu kigeni masikioni mwa watumia mtandao, wengi wetu hutembelea blogu kila siku kupata habari, burudani n.k. Blogu sasa zimeanza kuwapatia kipato wanaoendesha blogu zao kwa ufanisi mfano Issa Michuzi.  Kwenye makala hii nitaongelea kuhusu Blogu, sababu zinazofanya watu binafsi kuanzisha blogu, faida zake na nini cha kufanya kuweza kuanzisha na kunufaika na blogu.

Blogu ni nini?
Blogu ni aina ya tovuti ambayo makala zake hupangwa katika mpangilio unaoanza na makala mpya juu ya ukurasa mkuu (home page) na makala za zamani zikielekea chini. Tofauti kati ya blogu na tovuti za aina nyingine mfano tovuti ya gazeti la mwananchi (tovuti tuli “static”) au jamii forum (tovuti jukwaa “forum”) ni hizi zifuatazo.

  1. Maudhui ya blogu (makala, picha, video n.k.)hupangwa kwa kuanza na maudhui mapya yakiwa juu ya ukurasa mkuu halafu maudhui ya zamani yakielekea chini.
  2. Maudhui ya blogu huongezwa mara kwa mara
  3. Wanaotembelea blogu wanaweza kuacha maoni yao kuhusu maudhui au blogu kwa ujumla.
Zipo tofauti nyingine lakini hizi zilizo ainishwa hapo juu kwa pamoja ndiyo zina tofautisha blogu na tovuti nyingine.

Kwa nini watu wanaanzisha blogu?
Watu huanzisha blogu kwa sababu mbali mbali ila kuna sababu ambazo husukuma watu wengi kuanzisha blogu zao binafsi.

Kufundisha; Watu wengi wenye utaalamu au ujuzi na jambo fulani huanzisha blogu kwa ajili ya kufundisha. Mfano mtu anayefanya kazi kwenye duka la kuuzia simu anaweza kuanzisha blogu ya kusaidia watu kutambu simu feki au simu zitakazo kidhi mahitaji au utunzaji bora wa simu yako n.k.
Kusaidia; Kuna watu wanaoanzisha blogu kwa ajili ya kusaidia watu. Mfano daktari anaweza kuanzisha blogu ya kusaidia watu na matatizo yao ya kiafya.

Kipato; Pia wapo watu ambao huanzisha blogu kama njia ya kujipatia kipato. Hapa kuna kuwa na tofauti kati ya blogu moja na nyingine, wapo wanaouza bidhaa kupitia blogu zao, wapo wanaouza ujuzi wao n.k
Hizi ni baadhi ya sababu kubwa zinazo pelekea watu binafsi kuanzisha blogu lakini siyo sababu pekee.

Faida za kuwa na blogu
Faida za kuwa na blogu ni nyingi kwa wale ambao wana tafuta njia mbadala ya kufikisha ujembe wao kwa haraka, urahisi na unafuu. Baadhi ya faidi kubwa za kuwa na blogu ni;

Blogu ni rahisi kuanzisha na kusimamia; Kuanzisha blogu ni rahisi sana na inachukua chini ya dakika 5 kuanzisha blogu yako bila gharama yeyote zaidi ya kuwa na mtandao. Vile vile kuendesha na kusimamia blogu yako ni rahisi kwani unaweza kuweka makala zako mtandaoni kwa kutumia simu, barua pepe n.k.

Ni rafiki wa search engine; Zaidi ya nusu ya watu wote wanaotumia mtandao duniani hutumia search engines kutafuta makala mtandaoni. Ukiweza kutumia blogu yako vizuri unaweza kufaidika na utitiri wa watu wanaotumia search engines. Blogu tofauti na tovuti zingine inauwezo mkubwa wa kufaidika na search engine ambayo itakuletea wageni wengi ukiitumia vizuri.

Blogu huvuta wageni wengi; Uwezo mkubwa wa kutumia search engines, uhamasishaji wa ushiriki kwa kutoa maoni unasaidia blogu kuvutia watu wengi kuliko tovuti nyingine. Ukiweza kuweka makala zenye mvuti, zenye kuhabarisha, kuelimisha, kuburudisha n.k. hutakosa wageni kwenye Blogu yako mfano Blogu ya Issa Michuzi, ni maarufu si kwa sababu ya Michuzi bali ni kwa sababu ya maudhui yake.

Blogu itakupatia kipato; Ukiweza kuwa na maudhui yenye mzuti, ukatumia search
engine vizuri utapata wageni wengi kwenye blogu yako. Ukiwa na watu wengi wanaotembelea blogu yako, watu, makampuni nakadhalika watataka kuwafikia wageni wanaotembelea blogu yako. Njia ya kuwafikia ni matangazo ambayo itabidi wakulipe hivyo kukuingia kipato.  

Blogu inaweza kukupatia ajira; Kwa wale ambao hawana ajira na wanaujuzi fulani au wamesomea kitu Fulani, blogu inaweza kuwa njia ya kukupatia ajira. Mfano umesomea ubunifu wa majengo na huna ajira unaweza kuanzisha blogu ambayo inatoa ushauri kuhusu namna bora ya ujenzi bure. Na kama maudhui ya blogu yako yatasaidia watu kujenga nyumba bora, kuokoa fedha n.k. (i) Utapata watu wengi watakaotembelea blogu yako kwa ajili ya kupata ushauri (makampuni ya bidhaa za ujenzi yatataka kufikia wageni wa blogu yako kupitia matangazo). (ii) Ushauri wako unakuwa ni sehemu ya C.V. yako hivyo kuongeza uwezekano wa kupata ajira.   

Sehemu ya kuanzia
Kabla hujaanzisha blogu yako hakikisha unajibu maswali matatu muhimu, (1) Je unaielewa vizuri mada utakayozungumzia kwenye blogu yako? e.g. Soka, siasa, mitindo n.k. (2) Unaipenda mada ya blogu yako kiasi cha kuweza kuifanya bila malipo? (3) Je unauvumilivu utakaouhitaji kufikisha blogu yako mahali ambapo unataka? Ukiweza kujibu maswali haya matatu kwa ufasaha basi uwezekano wa kuwa na blogu yenye mafanikio unaongezeka maradufu.

Unapoanzisha blogu yako kuna mambo muhimu ya kuzingatia (haya ni baadhi tu) (a) Lazima maudhui yako yawe na mvuto (b) Uwekaji wa makala kwenye blogu yako lazima uwe unatabirika (mfano utaweka makala mara moja kwa siku, wiki n.k.) (c) Lazima usambaze makala za blogu yako kwenye mitandao ya jamii, blogu marafiki, mtandaoni (hapa ni muhimu kutumia njia yeyote ya kihalali) (d) Lazima uwe mdadisi wa mbinu mbali mbali za kukuza blogu yako (Ukituumia Google utapata makala nyingi zitakazo weza kusaidia katika hili).

Kuanzisha blogu yako leo bure nenda kwenye jukwaa la Blogger, hakikisha una akaunti ya barua pepe ya Gmail. Kama huna nenda Gmail ujisajili bure, halafu tumia akaunti yako ya Gmail kusajili Blogu yako. Fuata maelekezo ya kuanzisha blogu na ndani ya dakika 5 utakuwa na blogu yako tayari kuanza kuweka makala zako mtandaoni.

Vile vile unaweza kututembelea kwa kuingia hapa kuona huduma ambazo tunaweza kukupa kusaidia blogu yako ifanikiwe.



Read more

Basic Package


If you’re new to blogging or just want a basic blog that will enable you to start blogging in no time, then this is a good starting point. With this package we will setup your blog, optimize it so you can start blogging immediately as well as giving you a guide on how to write your first post.


Services include:

Registration of a Google Account.                  
Picking 3 names for your new blog in order of preference (Client’s choice).         
Creating a blog title using keyword tools with input from the client.               
Installation of a template.                 
Implementing your preferences with input from the client on
  Authors- This sets permission on who can write posts, edit etc on your  blog.  
 Comments- This sets your preferences on who can comment on your blog.  
 Posts- This sets out how you posts are displayed and how many.                  
A step by step guide on how to write your first post including how to insert images, links videos   etc.
      Cost of Package = TZS 1OO,OOO.oo  



Read more

Custom Package

Gone are the days when all you had to do was launch a basic blog, start blogging and expect to get traffic. Together with having great content, a well designed platform that makes it easy and appealing for people visiting your blog is essential. A custom template is tailor made for your blog, it’s there to complement your blog rather than forcing your blog to conform to it.

Templates are like clothes, as your blog evolves you may find your current template wanting. You might want to either update the look and fill of your blog or change your blog direction to meet new demands and needs. 

This is where we come in to give you a template that best suits your current and future needs.

Services include:

Choosing, installing and customizing your new template to your specifications.
Installing widgets and plug ins to help your blog work better for you.
Opening a Flickr account to store template images.
A step by step guide of how to save template images.
We can also assist you to install a custom domain name (at an additional cost)

Package starts at TZS 3OO,OOO.oo (Click HERE for a free Quote)


Read more

Social Media Package

With the increased prominence of social media’s influence on the web, its become an important tool for blogging success. This package will help you increase your blogs reach and traffic by tapping into social media traffic. We will help connect your blog to key social media sites (Facebook, Twitter, Linkedin, Youtube etc) whether you want to use new or existing accounts.

We will create pages for each of your social media sites and provide you with literature on how you can take advantage of each social site. We will also provide you with tools were applicable to help you use your social media more efficiently.

You will also get everything applicable from the “Basic” and “Custom” packages. 

(If all you want is to get your blog connected to “social media” please click here) 

Services include

Registration of up to 3 different social media accounts and creating pages for each.
Linking the social media accounts with your blog.
Providing tools that make it easy to run, manage and monitor your social media accounts.
    This package starts at TZS 45O,OOO.oo  (Click HERE for a free Quote)



Read more

Search Engine Optimization (SEO) Package

Optimizing your blog for search engines gives you an edge when it comes to taking advantage of search engine traffic.  Search engine optimization (SEO) enables search engine spiders to index your site which in turn enables your blog content to be easily found through search queries. With over 50% of internet users finding content through search engines, SEO is crucial if you want to increase traffic to your blog. 

With this package we will optimize your blog for the top 3 search engines (Google, Bing & Yahoo). We will also connect your blog to webmaster tools enabling you to monitor your sites performance, protect yourself from malicious software, resolve site errors etc. We will also give your literate on how to to make the most of your webmaster tools

You will also get everything applicable from the “Basic”,“Custom” & “Social Media” packages. 

(If you want us to manage your webmaster tools please click here

Services include:

SEO optimization for the entire blog which will include optimizing
  • Tags [meta and description], images etc.
  • Link optimization [back links, no follow, do follow, no index etc].
Linking blog to webmaster tools including
  • Configuration of blog using webmaster tools.
  • Sending a sitemap to search engines.
  • A quick guide of how to use key Webmaster Tools’ features.
This package starts at TZS 6OO,OOO.oo (Click HERE for a free Quote)


Read more