• Start a Blog

    Start a Blog

    Whether it's a personal or business Blog, we can help you get started.

  • Blog Tweaks

    Blog Tweaks

    We help you make small changes to your Blog that make a big difference.

  • Blog Strategy

    Blog Strategy

    We will help you develop a strategy for your Blog's success.

  • Branding

    Branding

    Helping your Blog and Social Media platforms standout from the crowd.

  • Analytics

    Analytics

    Use your Blog visitors' interaction data to improve your Blog.

  • Management

    Management

    Let us manage your Analytics and Webmaster tools so you can focus on blogging.

Showing posts with label usimamizi. Show all posts
Showing posts with label usimamizi. Show all posts

Managing Analytics (Swahili)

Blog analytics inakusaidia kuelewa jinsi watu wanavyo tumia blogu yako na kurasa zake. Utaweza kujua kuanzia wageni kwenye blogu yako wanapotoka, kurasa wanazotembelea, muda wanaokaa kwenye blogu yako n.k. Katika pakeji hii tusimamia analytics ya blogu pamoja na mitandao yako ya kijamii na kukupa repoti  itakayo kupa picha kamili ya blogu yako na kukuacha wewe uweke nguvu zako kwenye uendeshaji wa blogu yako.

Tutakaa na wewe kujua malengo yako halafu tutatumia maelezo yako kuanda ripoti ya kila mwezi itakayokupa kwa undani picha kamili ya blogu yako. Pia utapata mapendekezo ya nini cha kufanya kuboresha blogu yako ili uweze kufikia malengo yako.

Sisi tutafanya kazi ya kusimamia, kutengeneza ripoti na kutoa mapendekezo ya  analytics ya blogu yako na mitandao yako ya kijamii ili kukuacha wewe uendeshe na kuboresha blogu yako.

(Kama unachohitaji ni kuunganishiwa blogu yako na analytics basi ingia hapa)

Huduma utakazo pata ni pamoja na:
  • Kuunganisha blogu yako pamoja na mitandao yako ya jamii na Google Analytics
  • Kusimamia analytics kwa ajili ya blogu yako na mitandao yako ya kijamii
  • Ripoti ya kila mwezi kuhusu blogu yako na mapendekezo ya maboresho ya kufanya.
Tutaunganisha Blogu pamoja na mitandao yako ya kijamii na Google Analytics Bure.

Pakeji hizi zinaanzia
Mkataba wa mwezi 1          TZS 15O,OOO.oo
Mkataba wa miezi 3            TZS 14O,OOO.oo kwa mwezi
Mkataba wa miezi 6            TZS 12O,OOO.oo kwa mwezi
Mkataba wa mwaka 1        TZS 100,OOO.oo kwa mwezi 

 (Ingia HAPA kupata makisio ya gharama BURE)


Read more

Managing Webmaster Tools (Swahili)

Zaidi ya 50% ya watu wote wanaotumia mtandao duniani hutumia search engines (Google, Bing n.k.) kutafuta watakacho mtandaoni. Kurekebisha blogu yako kwa ajili ya search engines kunaiwezesha blogu yako kunufaika zaidi na umati unaotumia search engines. Pakeji hii itawezesha search engines kuweza kupitia makala zako na kuhifadhi maudhui yake kwa ajili ya watumiaji wake (mfano mtu anapotafuta kitu kinachoshabihiana na maudhui ya makala zako, search engine zitampa kurasa za blogu yako kwenye majibu yake). 

Tutarekebisha blogu yako kwaajili ya search engines 3 bora kwa idadi ya watumia (Google, Bing & Yahoo). Pia tutasimamia webmaster tools zako, tutakupa ripoti itakayokupa picha ya blogu yako pamoja na mapendekezo ya maboresho kila mwezi. Vile vile tutajadili ripoti hiyo na wewe halafu tutatekeleza mapendekezo tutakayo afikiani kwenye mjadala wa ripoti.

Kwa maana nyingine ni kwamba sisi tutafanya kazi zote za kuhakikisha blogu yako inafanya kazi vizuri na kukuacha wewe uendeshe na kuendelea kuborosha blogu yako.

(Kama unachohitaji ni kufanyiwa SEO peke yake basi ingia hapa)

Huduma utakazozipata ni pamoja na :

SEO optimization ya blogu yako yote nah ii itahusisha pamoja na mambo mengine
  • Tags [meta and description], images etc
  • Link optimization [back links, no follow, do follow, no index etc]
Kuunganisha blogu yako na webmaster tools pamoja na
  • Kurekebisha blogu yako kutumia webmaster tools
  • Kutuma ramani ya blogu yako kwenda kwenye search engines
  • Mwongozo wa jinsi ya kutumia vipengele muhimu vya Webmaster Tools
Kusimamia, kutoa ripoti ya kila mwezi pamoja na kutekeleza mapendekezo yatokanayo na mjadala wa ripotiya mwezi kati yako na sisi

Tutaunganisha blog yako na Google Analytics & Webmaster Tools Bure.

Pakeji hii inaanzia
Kwa mwezi 1                    TZS 2OO,OOO.oo
Mkataba wa miezi 3        TZS 185,OOO.oo kwa mwezi
Mkataba wa miezi 6        TZS 16O,OOO.oo kwa mwezi
Mkataba wa mwaka 1    TZS 14O,OOO.oo kwa mwezi 

  (Ingia HAPA kupata makisio ya gharama BURE)


Read more

Managing Analytics & Webmaster Tools (Swahili)

Pakeji hii ni kwale ambao wanataka kuwa na blogu iliyo na maudhui mazuri na yenye kufanya kazi kwa ufanisi na search engines (Google, Bing n.k.). Kwenye pakeji hii tutasimamia Analytics na Webmaster Tools zako ili uweze kuweka nguvu zako zote kuendesha na kuendeleza blogu yako.

Utaweza kujua kuanzia wageni kwenye blogu yako wanapotoka, kurasa wanazotembelea, muda wanaokaa kwenye blogu yako n.k. Tutakaa na wewe kujua malengo yako halafu tutatumia maelezo hayo kuanda ripoti ya kila mwezi itakayokupa kwa undani picha kamili ya blogu yako. Pia utapata mapendekezo ya nini cha kufanya kuboresha blogu yako ili uweze kufikia malengo yako.

Pakeji hii pia itawezesha search engines kuweza kupitia makala zako na kuhifadhi maudhui yake kwa ajili ya watumiaji wake (mfano mtu anapotafuta kitu kinachoshabihiana na maudhui ya makala zako, search engine zitampa kurasa za blogu yako kwenye majibu yake). 


Tutarekebisha blogu yako kwaajili ya search engines 3 bora kwa idadi ya watumia (Google, Bing & Yahoo). Pia tutakupa ripoti kila mwezi itakayokupa picha ya blogu yako pamoja na mapendekezo ya maboresho kila mwezi. Vile vile tutajadili ripoti hiyo na wewe halafu tutatekeleza mapendekezo tutakayo afikiani kwenye mjadala wa ripoti.

Huduma utakazo pata ni pamoja na:
  • Kuunganisha blogu yako pamoja na mitandao yako ya jamii na Google Analytics
  • Kusimamia analytics kwaajili ya site yako na mitandao yako ya kijamii
  • Ripoti ya kila mwezi kuhusu site yako na mapendekezo ya maboresho ya kufanya.
SEO optimization ya blogu yako yote nah ii itahusisha pamoja na mambo mengine
  • Tags [meta and description], images etc
  • Link optimization [back links, no follow, do follow, no index etc]
Kuunganisha blogu yako na webmaster tools pamoja na
  • Kurekebisha blogu yako kutumia webmaster tools
  • Kutuma ramani ya blogu yako kwenda kwenye search engines
  • Kukupa mwongozo wa jinsi ya kutumia vipengele muhimu vya Webmaster Tools
Kusimamia, kutoa ripoti ya kila mwezi pamoja na kutekeleza mapendekezo yatokanayo na mjadala wa ripotiya mwezi kati yako na sisi

Tutaunganisha blog yako na Google Analytics & Webmaster Tools Bure.

Pakeji hizi zinaanzia
Kwa mwezi 1                           TZS 28O,OOO.oo
Kwa mkataba wa miezi 3      TZS 26O,OOO.oo kwa mwezi
Kwa mkataba wa miezi 6      TZS 23O,OOO.oo kwa mwezi
Kwa mkataba wa mwaka 1  TZS 2OO,OOO.oo kwa mwezi 

  (Ingia HAPA kupata makisio ya gharama BURE)


Read more